Taarifa ya habari kunako ya siku ya tano tarehe 15 march 2019

Katika habari zinazo gonga mwamba:

  • Kiongozi wa quater la Mabanga-nord ana shutumu vijana kwa ukosefu wa usalama ndani ya eneo yake.
  • Ndani ya jimbo ya Kivu ya Kaskazini, wana bunge wa zamani wana omba pesa zayo. Hawa wana sema kama wame maliza muhula wawo ila gavmenti jimboni haija lipa pesa zao.
  • Habari za michezo za eleza kuhusu mechi mbali mbali za kinyanganyiro inchini la kandanda

Taarifa ina somwa naye Jospin Hangi

Usikilivu mwema.

Laisser un commentaire

Votre adresse de messagerie ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *