Journal parlé en swahili sur VBR Fm 98.5Mhz

Journal parlé en swahili par Jospin Hangi sur VBR Fm 98.5Mhz ce mercredi 05 juin 2019 à 19h15 heure de Goma…

SW ACTE 

Mkuukiongozi makamu wa mtaa ma bukumu tarafani nyiragongo awaita wazazi wote ku meza ku waandikisha kiserkali wa toto wao kwa kuweza kuifazi urahiya wa kikongomani. Witohuuilitolewa leo tarehe 5 JUNI 2019 wakati ya maojiano na radio yako .

Kwake DAVID MANIRIHO awaita wakaaji wake kuweza kuorozesha watoto wote kwani ni serkali peke ambayo inawezakupana asili ya kikongomani.

Aliojiwa naye CLAUDE BAGUMA////////////////

SW  BALLE

Mutu mmoja kuumizwa narisasi ;hayonimatokeo ya milio ya risasi ambayoilisikika mtaani nyiragongo ndani ya kijiji ya bugamba ya pili usiku wa sikuyapili kuamkia hii siku ya tatu tarehe 5 JUNI 2019

Kufatana na duru zamahali zaeleza kama ni askari polisi ambaye alikuwa katika hali ya ulevi

Wakaaji wamahali wa eleza kama polisi huyu ana halitu yakukosesha usalama rahiya wa eneon hiyo/////////////////

SW MABANGA SUD

Askari m’moja wa camp KATINDO  aliweza kushikwa akihendesha kitendo cha wizi katika usiku wa siku ya pili kucha siku ya tatu tarahe 05.juni.2019,ndani ya kata MABANGA hapa mujini Goma.

Kulingana naye SANVURA Nepon ambaye ni mkuu kiongozo makamo wa eneo alisema kuwa anafuraha kubwa kuona raiay wake awkuweza kumutendea huyo vitendo vibaya vyovyote vya kumuhumiza huyo, kwengineko kiongozi huyo ameita raiya wake kuweza kutumika kwa ushirikiano na askari polisi ili kutokomeza hali ya usalama mdongo katika heneo hilo la muji wa Goma.

Tuwakumbushe kuwa askari huyo amabaye alihendesha kitendo hicho cha wizi amekwishwa wekwa kunako jela ya Askari.

SW  SODERU

Wakaaji wa moja wa moja wa hapa mjini goma walaumu hali ya wa ganga wa moja wa moja wa hospitali zimoja zahapa mjini goma ambao wanaomba pesa mbele kuliko ku tunza kwanza wa gonjwa.

Wakaaji wamoja tulio kutana mbele ya kituo kimoja ya afia ya hapa mjini goma hi siku ya tatu tarehe 5 JUNI 2019 wazani kama wakurugenzi wa afia wange pashwa  jihusisha kwanza nakutunza wa gonjwa kasha pesa nyuma.

Mkaaji moja aliye kubali kuongeya na radio yako aeleza hapa/////////////////

SW PATIENT RAFIKI

Walimu wa muji  wa goma wana sema wata endesha vitendo vibaya zidi ya benki Fulani ndani ya muji wa goma ,hiyo ni baada ya hali ya hali ya wizi ambayo ina endeshwa na vitengo hivyo wakati wa kulipa walimu pesaao za mwezi .

Katika maojiyano siku ya tatu tarehe 05 june mwaka huu tunawo,PATIENT RAFIKI ambaye  ni mwenye kiti wa sharia la walimu wa masomo yaki protestanti jimboni amesema benki azi heshimu mapatano na serkali ili kulipa walimu .

Patient Rafiki  hapa ana heleza kunako microphone yake David ALUTA //////////////////////////

 

 

 

 

Laisser un commentaire

Votre adresse de messagerie ne sera pas publiée. Les champs obligatoires sont indiqués avec *